ELIMU STATIONERY
Unahitaji msaada wa kufanya maombi mbalimbali mtandaoni au huduma za stationery? Elimu Stationery ipo tayari kukuhudumia kwa urahisi na kwa umakini. Tunatoa huduma mbalimbali zikiwemo maombi ya RITA, maombi ya kazi (Job Applications), printing, typing pamoja na huduma nyingine za stationery na online applications. Badala ya kuhangaika na taratibu za kujaza maombi au kuandaa nyaraka zako, wasiliana nasi tukusaidie kupata huduma unayohitaji. Huduma zetu ni pamoja na: • Maombi ya RITA • Maombi ya kazi • Online Applications • Printing • Typing • Huduma mbalimbali za Stationery 📞 Call / WhatsApp 0614 072 369 0626 481 781 Elimu Stationery — Huduma rahisi, kwa mahitaji yako ya kila siku.